1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi nchini Uganda

18 Februari 2011

Raia wa Uganda leo wanaamua ni nani atakayewaongoza miaka mingine mitano ijayo. Mamia ya watu walikuwa kwenye vituo vya kupigia kura kabla ya vituo vyenyewe kufunguliwa.

https://p.dw.com/p/10JRF
Rais Yoweri Museveni wa UgandaPicha: DW/Schlindwein

Maafisa wa usalama wako kila mahali kuhakikisha hakuna ghasia zozote zitakazozuka.

Mwandishi wetu mjini Kampala, Leylah Ndinda, amevitembelea baadhi ya vituo vya kupigia kura mjini humo na anatuelezea jinsi mambo yalivyo.

Mwandishi: Leylah Ndinda

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Miraji Othman