Trump akiri Urusi kudukuwa uchaguzi wa Marekani | Media Center | DW | 06.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Trump akiri Urusi kudukuwa uchaguzi wa Marekani

Kwa mara ya kwanza Rais Donald Trump wa Marekani akiri kwamba huenda Urusi iliingilia uchaguzi uliomuweka yeye madarakani, mataifa ya Kiarabu yajizuwia kuiongezea vikwazo Qatar na huko Kenya, marufuku yawekwa dhidi ya utumiaji wa lugha za kikabila kwenye ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) wakati huu taifa hilo likielekea kwenye uchaguzi wa Agosti 8.

Tazama vidio 02:00