1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 28.11.2021

28 Novemba 2021

Uingereza, Ujerumani na Italia zagundua aina mpya virusi vya corona aina ya Omicron, wanajeshi sita wa Sudan wauawa katika shambulio lililofanywa na wanajeshi wa Ethiopia na Iran huenda ikawekewa vikwazo iwapo itatumia mazungumzo yaliopangwa kuanza tena mjini Vienna, Austria kama kisingizio cha kuendeleza kwa haraka mpango wake wa nyuklia.

https://p.dw.com/p/43aDF