1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi. 6.12.2019

Tatu Karema
6 Desemba 2019

Wabunge wa chama cha Democratic waendelea kutoa shinikizo za kumng'atua rais Donald Trump, Iran yazishtumu Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kwa ''kueneza uongo'' kuhusu mpango wake wa makombora na Rais wa Mexico Andres Manuel Lopez Obrador asema alikuwa na ''mkutano mzuri'' na mwanasheria mkuu wa Marekani William Barr

https://p.dw.com/p/3UIkr