Taarifa ya habari Asubuhi 30.08.2017 | Media Center | DW | 30.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya habari Asubuhi 30.08.2017

Rais wa Marekani, Donald Trump amezuru Texas na kujionea mwenyewe madhara yaliyosababishwa na kimbunga Harvey // Umoja wa Mataifa umelaani hatua ya Korea Kaskazini kurusha kombora lililopita katika anga ya Japan // Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Gutteres ameukosoa msimamo wa Israel kuhusu makaazi ya Wayahudi.

Sikiliza sauti 08:00