1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 15.01.2021

15 Januari 2021

Kura zinaendelea kuhesabiwa nchini Uganda baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika jana//Rais mteule wa Marekani, Joe Biden ameuzindua mpango wa uokozi wa dola trilioni 1.9 kwa ajili ya kuufufua uchumi wa nchi hiyo//Marekani imelikataa ombi la Umoja wa Mataifa la kubadili uamuzi wake wa kulitangaza kundi la waasi wa Houthi kuwa la kigaidi

https://p.dw.com/p/3nwfM