SPD yasema ″ndio″ kwa serikali ya mseto | Media Center | DW | 05.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

SPD yasema "ndio" kwa serikali ya mseto

Chama cha SPD ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Ujerumani kimesema wanachama wake wameidhinisha kujiunga katika serikali ya mseto ya Kansela Angela Merkel, jambo ambalo limekiondoa kisiki cha mwisho kilichokuwa mbele ya muhula wa nne wa kiongozi huyo. Tazama vidio.

Tazama vidio 01:19
Sasa moja kwa moja
dakika (0)