Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

SPD

Chama kikongwe kabisaa nchini Ujerumani kiliasisiwa mwaka 1875 na kinafuata siasa za nadharia ya mrengo wa wastani wa kushoto. Asili yake ni katika vuguvugu na wafanyakazi la karne ya 19.

Chama cha SPD ndiyo cha pili kwa ukubwa nchini Ujerumani katika muktadha wa uungwaji mkono wa wapigakura, lakini kikubwa zaidi katika muktadha wa uanachama. Wapigakura wake hasa ni wafanyakazi wanaoishi katika maeneo ya mijini. Kinara wa SPD Willy Brandt alikuwa waziri wa mambo ya nje katika serikali ya kwanza ya muungano mkuu na CDU 1966-1969 na kisha akawa kansela wa kwanza wa SPD.

Onesha makala zaidi