SOFIA: Duru ya pili yatakiwa kwenye uchaguzi wa urais nchini Bulgaria | Habari za Ulimwengu | DW | 23.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

SOFIA: Duru ya pili yatakiwa kwenye uchaguzi wa urais nchini Bulgaria

Rais wa Bulgaria anayeyaacha madaraka Georgy Parvanov anaongoza kwa kura katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais lakini hakuweza kuepuka duru ya pili itakaofanyika mwishoni mwa wiki ijao.

Takriban kura zote ziomeshahesabiwa. Kulingana na matokeo rasmi, rais Georgy Parvanov amepata ushindi mdogo wa nkta 64 tu zaidi na itabidi akabiliane na kiongozi wa chama cha kihafidhina Volen Siderov katika duru ya pili. Kiongozi huyo wa upinzani aliendesha kampeni yake juu ya maridhiano kati ya raia wenye asili ya kikurdi walio wengi na rais wenye asili ya Italy walio wachache.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com