Shirika la Msalaba Mwekundu Red Cross nchini Kenya wamo katika shughuli za kuwarejesha wakaazi makwao | Matukio ya Kisiasa | DW | 05.05.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Shirika la Msalaba Mwekundu Red Cross nchini Kenya wamo katika shughuli za kuwarejesha wakaazi makwao

Nchini Kenya operesheni ya kitaifa ya kuwarejesha makwao wakaazi waliokuwa wakipewa hifadhi kwenye kambi za muda katika mkoa wa Bonde la Ufa imeanza rasmi hii leo.

Watu waliokuwa wakiyahama makaazi yao baada ya ghasia za uchaguzi nchini Kenya

Watu waliokuwa wakiyahama makaazi yao baada ya ghasia za uchaguzi nchini Kenya

Taarifa zinaeleza kuwa kumeundwa vituo 32 vya polisi kwa lengo la kudumisha usalama katika eneo hilo. Hatua hii inachukuliwa baada ya Rais Mwai Kibaki na waziri Mkuu Raila Odinga wote wakiandamana na Makamu wa Rais kuzuru eneo hilo mwishoni mwa mwezi uliopita.Shughuli hiyo inayashirikisha mashirika ya msaada mfano Lile la Msalaba Mwekundu Redcross.

Thelma Mwadzaya alizungumza na Mkurugenzi wake Abbas Gullet ili kupata picha halisi


Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com