ROSTOCK:Mahakama Ujerumani yaridhia udhibiti wa waandamanaji | Habari za Ulimwengu | DW | 05.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ROSTOCK:Mahakama Ujerumani yaridhia udhibiti wa waandamanaji

Mahakama ya katiba ya Ujerumani imeridhia udhibiti wa wandamanaji dhidi ya mkutano wa wakuu wa nchi za G8 hapo kesho huko Heilegindamm.

Mahakama hiyo imesema kuwa ni watu 15 tu wawakilishi wa wapinzani wa utandawazi watakaoruhusiwa kukesha hii leo katika eneo la hoteli kutakakofanyika mkutano huo.

Mapema ghasia ziliendelea za waandamanaji ambapo kiasi cha polisi 50 walijeruhiwa na waandamanaji 66 walikamatwa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com