Ripoti ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu kuhusu virusi vya HIV | Masuala ya Jamii | DW | 16.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Ripoti ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu kuhusu virusi vya HIV

Watoto kiasi cha elfu 40 wako katika hatari ya kufariki katika kipindi cha miezi 24 ijayo ikiwa hawatapata madawa ya kupunguza makali ya virusi vya HIV.

Watoto walioathirika na virusi vya HIV barani Afrika

Watoto walioathirika na virusi vya HIV barani Afrika

Hayo yametangazwa leo katika ripoti ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch mjini Nairobi nchini Kenya.

Mengi zaidi na mwandishi wetu Alfred KitiSauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com