Rais wa Colombia ashinda Nobel | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 07.10.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Rais wa Colombia ashinda Nobel

Rais wa Colombia, Juan Manuel Santos, ashinda tuzo ya amani ya Nobel. Kimbunga Matthew kimewasili Florida, Marekani huku kikiwa kimesababisha vifo 339 nchini Haiti. Na, Shirika linalojihusisha na kupigania maslahi ya elimu nchini Tanzania la Hakielimu, limelaani vikali kupigwa kwa mwanafunzi Sebastian Chinguku na walimu wa shule ya sekondari ya Mbeya. Papo kwa Papo 07.10.2016.

Tazama vidio 01:51
Sasa moja kwa moja
dakika (0)