1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Haiti

Jamhuri ya Haiti ni taifa linalokutikana katika nusu ya upande wa magharibi wa kisiwa cha Hispaniola katika bahari ya Carebbia. Inapakana na Jamhuri ya Dominika katika upande wa mashariki.

Haiti ilikuwa koloni na Uhispania na baadae Ufaransa, lililotangaza uhuru wake mwaka 1804. Ilitawaliwa na mkururu wa serikali kadhaa za kiimla katika sehemu kubwa ya karne ya 20. Mji wake mkuu na mkubwa zaidi ni Port-au-Prince. Kwa wakaazi wake zaidi ya milioni 10, ndiyo nchi ya pili kwa kuwa na watu wengi zaidi katika eneo la Caribbia. Ukurasa huu unakusanya maudhui za DW kuhusu Haiti.

Onesha makala zaidi