1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Colombia

Colombia ni nchi inayokutikana katika ncha ya kaskazini ya bara la Amerika Kusini. Ni nchi ya misitu mikubwa, milima na inajulikana kwa kilimo cha kahawa.

Colombia inajivunia rasilimali kadhaa na utamaduni wake unaakisi uanuwai wa asili ya watu wake wakiwemo Wahindi wa asili,Wahispania na Waafrika. Lakini pia imekumbwa na migogoro ya umuagaji damu ikihusisha makundi ya silaha yaliopigwa marufuku, magenge ya wauza madawa ya kulevya, na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, ingawa tangu mwaka 2002, nchi hiyo imekuwa ikipiga hatua kuboresha hali ya usalama, ikifikia makubaliano ya kumaliza mgogoro wa muda mrefu zaidi nchini humo na waasi wa kundi la FARC.

Onesha makala zaidi