Raia wa Tanzania aachiwa huru baada ya kuzuiliwa nchini Afghanistan kwa madai kuhusika na ugaidi. | Matukio ya Kisiasa | DW | 01.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Raia wa Tanzania aachiwa huru baada ya kuzuiliwa nchini Afghanistan kwa madai kuhusika na ugaidi.

Visiwani Zanzibar raia mmoja wa Tanzania Suleiman Abdala Salim alikamatwa nchini Somalia na kuzuiliwa nchini Afghanistan kwa madai ya kuhusika na ugaidi.

Mwanamume huyo aliyekuwa mvuvi alikuwa akifanya biashara yake katika maeneo ya Somalia na Visiwani humo alipokamatwa.Alizuiliwa kwa kipindi cha miaka minne nchini Afghanistan chini ya ulinzi mkali na kuteswa kwenye jela ya kituo cha jeshi la Marekani cha Baghram.Baada ya hapo aliruhusiwa kurudi nyumbani na kusaidiwa na Shirika la Msaada la msalaba mwekundu Redcross.

Mwandishi wetu wa Zanzibar Salma Said alikutana na Suleiman Abdala Salim punde alipowasili visiwani.Anaanza na kueleza jinsi alivyokamatwa nchini Somalia

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com