PYONGYANG: Majadiliano ya mradi wa nyuklia wa Korea ya Kaskazini | Habari za Ulimwengu | DW | 14.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

PYONGYANG: Majadiliano ya mradi wa nyuklia wa Korea ya Kaskazini

Korea ya Kusini inasem,haikuona ishara yo yote kuwa Korea ya Kaskazini inafunga kituo chake kikuu cha nyuklia,ambalo ni sharti kuu la makubaliano muhimu yaliyopatikana mwezi uliopita. Makubaliano hayo yametoa wito wa Korea ya Kaskazini kukifunga kinu hicho katika kipindi cha siku 60 na badala yake nchi hiyo kupewa msaada wa nishati.Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Nyuklia,Mohamed el-Baradei hivi sasa yupo Pyongyang kwa majadiliano ya kutekeleza masharti yaliyokubaliwa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com