SiasaMashariki ya KatiNini kinafuata baada ya Iran kukaidi wito wa Trump?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaMashariki ya KatiBakari Ubena07.04.20267 Aprili 2026Iran imekataa mpango wa kusitisha mapigano kwa muda wa siku 45 ikisema inataka makubaliano ya kumalizika kabisa kwa vita hivyo na imekaidi wito wa kuufungua Mlango-Bahari wa Hormuz. Abdul Fattah Musa, ni mchambuzi wa siasa za kimataifa.https://p.dw.com/p/5BmRWMatangazo