Benjamin “Bibi” Netanyahu, ni Waziri Mkuu wa Israel tangu 2022 na kiongozi aliyehudumu muda mrefu zaidi katika historia ya nchi hiyo. Ameongoza mara tatu kabla, huku vipindi vyake vikishuhudia machafuko Mashariki ya Kati