Nchi za maziwa makuu zaazimia kuifufua jumuiya yao ya kiuchumi19.04.200719 Aprili 2007Nchi tatu za maziwa makuu zimeanzisha mikakati ya kufufua jumuiya ya kiuchumi iliyosambaratika miaka kumi iliyopita.https://p.dw.com/p/CHFrMatangazoRwanda,Burundi na Jamhuri ya Kidemorasi ya Kongo wametangaza hayo katika mkutano wa kujadili usambazaji wa umeme nchini Rwanda. Mwandishi wetu Christopher Karenzi anaripoti zaidi kutoka Rwanda.