NAIROBI: Viongozi kujadili njia za kulinda hali ya hewa | Habari za Ulimwengu | DW | 15.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NAIROBI: Viongozi kujadili njia za kulinda hali ya hewa

Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani unaofanywa mji mkuu wa Kenya Nairobi unaingia katika awamu muhimu leo hii. Mawaziri wa mazingira wa nchi 189 zinazoshiriki katika mkutano huo au wajumbe wao watashauriana kwa siku tatu.Mada kuu ni mustakabali wa itifaki ya kuhifadhi hali ya hewa na utaratibu wa kuzisaidia nchi zinazoendelea.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com