Mkuu wa Shirika la FAO ziarani DRC | Masuala ya Jamii | DW | 28.04.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mkuu wa Shirika la FAO ziarani DRC

Mkurugenzi wa shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO, bwana Jacques Diouf, ameitolea wito nchi ya DRC ibadili mfumo wake wa kilimo ili kuweza kukidhi mahitaji ya chakula kwa ajili ya raia wake.

default

Mkurugenzi wa Shirika la FAO Bwana Jacques Diouf

Kiongozi huyo wa shirika la FAO ameyasema hayo akiwa ziarani mjini Kinshasa.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaarifu zaidi kutoka Kinshasa.

Mwandishi: Saleh Mwanamilongo
Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com