Mkuu wa jeshi la polisi Kongo asimamishwa kazi kwa mauaji ya Chebeya | Matukio ya Kisiasa | DW | 07.06.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mkuu wa jeshi la polisi Kongo asimamishwa kazi kwa mauaji ya Chebeya

Maafisa kadhaa wa polisi wametiwa mbaroni kwa kuhusika na mauaji ya mwanaharakati huyo wa kutetea haki za binadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Floribert Chebeya, mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu

Floribert Chebeya, mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu

Mashirika ya kutetea haki za binaadam katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo yamepongeza hatua ya rais Joseph Kabila ya kumsimamisha kazi inspekta mkuu wa polisi ya nchi hiyo ili kuruhusu uchunguzi wa kifo cha mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu, Floribert Chebeya, aliyeuliwa wiki iliyopita mjini Kinshasa. Hata hivyo, mashirika hayo yameomba uchunguzi zaidi na wa haki ufanyike ili kutathmini sababu za mauaji ya Bwana Chebeya.

Mhariri, Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 07.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/Nk4s
 • Tarehe 07.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/Nk4s
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com