Mkutano wa sera ya ushirikiano wa kimaendeleo waanza Bonn | Masuala ya Jamii | DW | 27.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mkutano wa sera ya ushirikiano wa kimaendeleo waanza Bonn

Hii leo hapa mjini Bonn Ujerumani, umeanza mkutano wa pili wa siku mbili juu ya sera ya ushirikiano wa maendeleo. Mkutano huo umefungliwa na rais wa Ujerumani Horst Köhler.

default

Rais wa Ujerumani Horst Koehler

Sikiliza mahojiano kati ya Josephat Charo na Othman Miraji, mhariri katika idara ya Kiswahili ya Deutsche Welle, aliyehudhuria mkutano huo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com