1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

COP23

Mazungumzo kuhusu mabadiliko ya tabianchi yaliyofanyika mjini Bonn, Ujerumani, yakiwahusisha wajumbe takriban 20,000. Washiriki wanajadili namna ya kubakisha ongezeko la joto duniani chini ya nyuzi 2 za Celsius.

Ingawa Fiji ndio ilikuwa mwenyeji wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira, 2017, wawakilishi wa nchi na mashirika yasiyo ya kiserikali kutoka kote duniani walikutana mjini Bonn, Ujerumani, kujadiliana namna ya kushirikiana kupunguza na kuzuia athari za mabadiliko ya tabianchi. Ukurasa huu una mkusanyiko wa mada zote zinazohusiana na mkutano huu, COP23.

Onesha makala zaidi