Mkutano wa kimataifa wa hali ya hewa mjini Bonn | Habari za Ulimwengu | DW | 29.03.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Habari za Ulimwengu

Mkutano wa kimataifa wa hali ya hewa mjini Bonn

walimwengu wakutana Bonn kuzungumzia namna ya kuhifadhi hali ya hewa

Bonn:


Wajumbe zaidi ya 2000 kutoka zaidi ya nchi 180 wanakutana katika mji wa Ujerumani wa Bonn,kwa duru kadhaa za mazungumzo kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa.Lengo la mkutano huo wa Umoja wa Mataifa utakaodumu siku kumi ni kujiandaa kwaajili ya mkutano wa hali ya hewa utakaoitishwa mjini Copenhagen nchini Danemark December mwaka huu.Mkutano wa kilele wa Copenhagen umelengwa kufikia makubaliano mepya ya kupunguza hali ya ujoto,itifaki ya Kyoto ya kupunguza moshi wa viwandani ,muda wake utakapomalizika mbnamo mwaka 2012.

 • Tarehe 29.03.2009
 • Mwandishi Oumilkher Hamidou
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/HM9S
 • Tarehe 29.03.2009
 • Mwandishi Oumilkher Hamidou
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/HM9S
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com