Mifuko ya plastiki yazichafua fukwe za Afrika ya Mashariki | Masuala ya Jamii | DW | 14.07.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mifuko ya plastiki yazichafua fukwe za Afrika ya Mashariki

Fukwe za kuvutia katika pwani ya Afrika ya Mashariki zinaelekea kuwa kama majalala kutokana na uchafu wa mifuko ya plastiki ambao umeanza kuathiri maisha ya samaki na wakaazi wanaotegemea bahari kwa maisha yao.

Uvuvi kwenye pwani ya Msumbiji

Uvuvi kwenye pwani ya Msumbiji

Thelma Mwadzaya anazungumzia hatari ambayo mazingira na maisha ya mwanaadamu yanahatarishwa kupitia uchafu wa mifuko ya plastiki kwenye fukwe za pwani ya Afrika ya Mashariki.

Mtayarishaji: Thelma Mwadzaya
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com