Matatizo ya usafiri wa umma jijini Nairobi, Kenya
17 Septemba 2009Matangazo
Hii Imesababisha watu wengi kushindwa kufika kwa wakati muafaka kazini kutokana na kukamatwa kwa magari mengi ya abiria kwa sababu ya kushindwa kufikisha viwango vinavyohitajiwa vya usalama.
Alfred Kiti kutoka Nairobi na taarifa kamili.
Mtayarishaji:Alfred Kiti
Mpitiaji:Sekione Kitojo