1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 08.10.2017

Yusra Buwayhid
8 Oktoba 2017

Mamia ya watu wamekusanyika mjini Barcelona, kabla ya mkutano wa kupinga jimbo la Catalonia kujitenga na Uhispania. Vyama vya kihafidhina vya Kansela wa Ujerumani Angela Merkel vyakutana kujadili kikomo cha kupokea wahamiaji nchini. Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe amuunga mkono Rais wa Marekani kuiongezea shinikizo Korea kaskazini.

https://p.dw.com/p/2lSfo