1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Carles Puigdemont

Chini ya Carles Puigdemont, wanaharakati wanaopigania kujitenga waliitisha kura ya ufanisi ya maoni kuhusu uhuru. Alikimbilia uhamishoni baada ya mamlaka kuanzisha ukandamizaji dhidi ya wanaotaka kujitenga.

Puigdemont - mwandishi habari wa zamani mwenye ufasaha wa lugha za Kiingereza, Kifaransa na Kiromania, ametumia sehemu kubwa ya maisha yake ya kisiasa kupigania uhuru wa jimbo la Catalonia. Alikimbia kufuatia ukandamizaji mbaya wa mamlaka za Uhispania dhidi ya wapigakura wakati wa kura ya maoni juu ya uhuru wa jimbo hilo, na hatimaye alinaswa na polisi nchini Ujerumani. Huu ni mkusanyiko wa maudhui za karibuni za DW kuhusu Carles Puigdemont.

Onesha makala zaidi