1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 05.03.2017 saa 12:00 (Afrika Mashariki)

John Juma
7 Machi 2017

https://p.dw.com/p/2YfpF

Ikulu ya Marekani sasa yaiomba bunge kuchunguza ikiwa rais wa zamani Barrack Obama alitumia visivyo mamlaka yake kwa kuamuru udukuzi kwa simu ya Donald Trump wakati wa kampeni.

Rais wa Uturuki Reccep Tayyip Erdogan aishutumu Ujerumani na kufananisha hatua ya kuzuia mikutano ya kampeni za kuipigia debe kura ya maoni kuwa sawa na zile za uongozi wa kinazi.

Watu 66,000 wapoteza makao kufuatia mapigano ya miezi 5 kaskazini mwa Syria