Miongoni mwa mengi tuliyokuandalia ni pamoja na +++Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani atoa wito wa amani wakati wa ibada yake ya kwanza ya Pasaka kama Papa+++Kongo kupokea wahamiaji kutoka Marekani chini ya makubaliano mapya+++Netanyahu apongeza hatua ya kuokolewa kwa rubani wa Marekani wa ndege iliyodunguliwa na Iran+++Israel na kundi la Hezbollah nchini Lebanon zaendelea kushambuliana.