Miongoni mwa mengi tuliyokuandalia ni pamoja na +++Trump asema rubani wa Marekani apatikana hai Iran+++Rais wa Lebanon ataka mazungumzo na Israel kuepusha uharibifu zaidi+++Zelensky asema vita Mashariki ya Kati vinasababisha kupunguzwa kwa msaada kwa nchi hiyo+++Papa Leo kutoa baraka maalum ya Pasaka huko Vatican+++Wanamgambo Nigeria wavamia kituo cha polisi na kuwauwa maafisa wanne.