1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.04.2026 - Matangazo ya Jioni

25 Aprili 2026

Jioni hii utasikia: Iran yawasilisha masharti ya mazungumzo na Marekani kwa Pakistan+++Watu wanne wameuwawa Lebanon kutokana na mashambulizi ya Israel+++Jeshi la Mali lasema hali ni shwari baada ya saa kadhaa za mashambulizi.

https://p.dw.com/p/5CoTy