You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Ukraine
Miaka 60 ya DW Kiswahili
Rashid Chilumba
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Rashid Chilumba
Taarifa na Rashid Chilumba
Kinagaubaga: Mbunge Waitara na juhudi za kupigania haki za raia kwenye migodi
Kinagaubaga: Mbunge Waitara na juhudi za kupigania haki za raia kwenye migodi
Mwanasiasa Mwita Waitara, ni mbunge wa jimbo la Tarime kaskazini mwa Tanzania, hivi karibuni akiwa bungeni alilalamikia fidia ya wananchi kutoka kwenye mgodi mkubwa wa kuchimba madini jimboni kwake. Suali ni je wawakilishi kama yeye wanaweza kumaliza migogoro kati ya wananchi na makampuni makubwa ya kuchimba madini nchini Tanzania. Rashid Chilumba amezungumza nae katika Makala hii ya Kinagaubaga.
Pande hasimu Sudan zasaini makubaliano ya kuwalinda raia
Pande hasimu Sudan zasaini makubaliano ya kuwalinda raia
Pande hasimu zinazowania madaraka nchini Sudan zimetia saini makubaliano ya kuwalinda raia.
Nini maana ya hatua ya rais wa Kongo kuvikosoa vikosi vya EAC?
Nini maana ya hatua ya rais wa Kongo kuvikosoa vikosi vya EAC?
Sikiliza mahojiano kati ya msemaji wa rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na mwenzetu Rashid Chilumba baada ya kiongozi huyo kukikosowa vikali kikosi cha wanajeshi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichotumwa kurejesha amani kwenye maeneo ya mashariki mwa nchi yake, akisema kwamba wanajeshi hao wanapaswa waondoke kufikia mwishoni mwa mwezi ujao wa Juni.
Hujuma za Israel huko Gaza zasababisha vifo vya watu 13
Hujuma za Israel huko Gaza zasababisha vifo vya watu 13
Israel imefanya mashambulizi makali dhidi ya Ukanda wa Gaza leo alfajiri na kusababisha vifo vya watu 13.
Guterres: Mzozo wa Sudan sharti uzuiwe kuvuka mpaka
Guterres: Mzozo wa Sudan sharti uzuiwe kuvuka mpaka
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ni muhimu kuhakikisha mzozo wa Sudan hautapakai nje ya mipaka ya nchi hiyo.
Utulivu warejea kwenye mpaka wa Israel na Ukingo wa Gaza
Utulivu warejea kwenye mpaka wa Israel na Ukingo wa Gaza
Hali ya utulivu imerejea kwenye mpaka wa Israel na Ukanda wa Gaza baada ya pande mbili kuafikiana kusitisha mapigano.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo