Maoni : Taliban na kutambuliwa kimataifa | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 15.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Maoni : Taliban na kutambuliwa kimataifa

Ni miezi miwili sasa tangu utawala wa Taliban urejee madarakani nchini Afghanistan,baada ya miaka zaidi ya ishirini ya mapambano na majeshi ya nchi za kigeni yaliongozwa na Marekani chini ya kivuli cha jumuiya ya kijuhami ya NATO. Maoni kwenye meza ya duara wiki hii Mohammed Khelef na wageni wake wanajadili uwezekano wa Taliban kutambulika kimataifa.

Sikiliza sauti 41:30