Mahojiano na Mwanasheria wa Zanzibar Bw.Ali Ahmed Uki kuhusu Haki za Binaadamu Visiwani Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 31.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mahojiano na Mwanasheria wa Zanzibar Bw.Ali Ahmed Uki kuhusu Haki za Binaadamu Visiwani Zanzibar

Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora huko Tanzania, inayoongozwa na Jaji Robert Kisanga, kwa mara ya kwanza imetoa taafira yake kuhusu hali za haki za binaadamu Visiwani Zanzibar na imelalamika juu ya kuvunjwa haki hizo, hasa na vyombo vya dola.

Othman Miraji alizungumza na mwanasheria wa Zanzibar Ali Ahmed Uki ambaye ameipitia taarifa hiyo na kwanza alielezea vipi sasa tume hiyo inafanya shughuli zake hadi Visiwani ambapo mwanzoni iliwekewa guu na wakuu wa Zanzibar.
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com