Maandamano ya Waandishi wa Habari nchini Kenya | Matukio ya Kisiasa | DW | 15.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Maandamano ya Waandishi wa Habari nchini Kenya

Mamia ya waandishi wa habari nchini Kenya leo asubuhi walishiriki katika maandamano makubwa katikati ya mji mkuu wa Nairobi kupinga mswaada wa sheria ya kudhibiti vyombo vya habari nchini humo,lakini serikali sasa imebatilisha msimamo wake kuhusu mswaada huo wa sheria.

Jiji la Nairobi yalipofanyika maandamano ya Waandishi wa Habari

Jiji la Nairobi yalipofanyika maandamano ya Waandishi wa Habari

Mwandishi wetu Mwai Gikonyo ametutumia taarifa ifuatayo kutoka Nairobi.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com