LONDON: Ugonjwa wa miguu na midomo umetokea maabara | Habari za Ulimwengu | DW | 13.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

LONDON: Ugonjwa wa miguu na midomo umetokea maabara

Maafisa nchini Uingereza wamesema,ugonjwa wa miguu na midomo ulioripuka hivi karibuni nchini humo ni sawa na ule uliotokea mwezi uliopita. Wakulima walikuwa na wasiwasi kuwa virusi vya aina mpya vitawalazimu kuua mifugo yao.Ugonjwa wa ulioripuka mwezi uliopita kwenye shamba la mifugo katika eneo la Surrey,ulihusishwa na maabara ya jirani.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com