LONDON: Ugonjwa wa midomo na miguu wachomoza upya Uingereza | Habari za Ulimwengu | DW | 12.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

LONDON: Ugonjwa wa midomo na miguu wachomoza upya Uingereza

Kesi mpya ya ugonjwa wa midomo na miguu imegunduliwa katika shamba moja la mifugo,kusini mwa Uingereza.Maafisa wamethibitisha kuwa shamba hilo lipo Surrey,kiasi ya kilomita 50 kutoka shamba lililoambukizwa ugonjwa huo katika mwezi wa Agosti.Kesi hii mpya,imetokea siku nne baada ya Uingereza kutangaza rasmi kuwa ugonjwa wa midomo na miguu umedhibitiwa nchini humo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com