LISBON: Pendekezo la kuregeza sheria ya kutoa mimba | Habari za Ulimwengu | DW | 11.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

LISBON: Pendekezo la kuregeza sheria ya kutoa mimba

Kura ya maoni inapigwa nchini Ureno hii leo,juu ya sheria kali za nchi hiyo kuhusika na kitendo cha kutoa mimba.Kura hiyo inahusika na pendekezo la serikali ya Ureno kuwa wanawake waruhusiwe kutoa mimba mpaka wiki 10 za mwanzo tu.Kwa hivi sasa,nchini humo wanawake wanaruhusiwa kutoa mimba ikiwa tu walibakwa,afya ya mzazi ipo hatarini au kama mimba changa ina kasoro fulani.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com