Kongamano la Umoja wa Afrika kukabiliana na wakimbizi unaofanyika nchini Uganda | Masuala ya Jamii | DW | 19.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongamano la Umoja wa Afrika kukabiliana na wakimbizi unaofanyika nchini Uganda

Mkutano maalum wa kilele wa Umoja wa Afrika unaolenga kukabiliana na tatizo la wakimbizi na watu waliolazimika kuyakimbia makazi yao ndani ya nchi zao, umeanza leo mjini Kampala Uganda.

default

Eneo ya makaazi ya wakimbizi nchini Uganda

Mkutano huo wa siku tano unatarajiwa kutafuta njia za kuzuia raia kulazimika kuhama maeneo wanayoishi na kwenda kuishi mahala pengine na pia kutakafari njia za kuwasaidia wakimbizi milioni 17 na watu walioyahama makazi yao barani Afrika.

Mwandishi wetu kutoka Kampala, Leylah Ndinda ametutumia taarifa ifuatayo:

Insert:

Mtayarishaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com