Kongamano la kujadili mikakati ya Malaria kisiwani Zanzibar | Masuala ya Jamii | DW | 26.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongamano la kujadili mikakati ya Malaria kisiwani Zanzibar

Wataalamu wakutana Zanzibar kuhusu ugonjwa wa malaria.

default

Mama na mtoto wake anayeugua Malaria akisubiri matibabu

Wataalamu zaidi ya 150 wa ugonjwa wa malaria barani Afrika wanakutana visiwani Zanzibar-Tanzania, kujadili mikakati ya kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo barani humo. Mwandishi wetu wa Dar es Salaam, George Njogopa yuko visiwani Zanzibar na ametutumia taarifa ifuatayo juu ya mkutano huo.

Mtayarishaji: George Njogopa

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com