Kongamano la Kimataifa la vyombo vya Habari mjini Bonn | Masuala ya Jamii | DW | 21.06.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongamano la Kimataifa la vyombo vya Habari mjini Bonn

Mjini Bonn imefunguliwa kongamano la tatu la Jukwaa la kimataifa la Vyombo vya Habari lililotayarishwa na Deutsche Welle, na kauli mbinu mwaka huu ni ujoto unaoongezeka duniani na athari za mabadiliko ya hali ya hewa.

default

Kongamano la Kimataifa lililotayarishwa na DW mjini Bonn

Mchango gani unaweza kutolewa na vyombo vya habari katika kuwazindua wanadamu juu ya suala gumu ka la mabadiliko ya hali ya hewa? Katika hotuba yake ya ufunguzi, mkurugenzi mkuu wa Deutsche Welle, Erik Bettermann, alisema ishara zote zinaoonesha hali ya hewa inabadilika, na kwa mwanadamu na mazingira na matokeo yake mtu hawezi kuyakadiria.

Mmoja kati ya watu mashuhuri wanaohudhuria kongamano hili ni Bibi Charity Ngilu, waziri wa maji na unyuyuziaji wa Kenya. Mwenzangu Othman Miraji alizungumza mkutanoni na Bibi Ngilu, na kumuuliza kongamano hili.

Mpitiaji:Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com