Kompyuta na Mtandao wa Internet –Kipindi 2 – Kununua kompyuta
11 Novemba 2010
Katika kipindi hiki cha pili, tutakudokeza nini cha kutilia maanani unapotaka kununua kompyuta, hususan iliyotumika.Tuangalie nini kinatokea katika duka la John la kompyuta zilizotumika.