KABUL: Afghanistan mzalishaji mkuu wa afyuni duniani
26 Juni 2007Matangazo
Mazao ya afyuni yanazidi kuongezeka nchini Afghanistan.Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa,zaidi ya asilimia 90 ya afyuni duniani hutoka Afghanistan.Ripoti hiyo mpya inasema,katika mwaka 2006,tani 6,100 za afyuni zilivunwa Afghanistan.