JERUSALEM: Rais mpya wa Israel kuchaguliwa Juni 13 | Habari za Ulimwengu | DW | 10.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

JERUSALEM: Rais mpya wa Israel kuchaguliwa Juni 13

Bunge la Israel litamchagua rais mpya tarehe 13 mwezi Juni.Uamuzi huo umechukuliwa na jopo la ushauri la wabunge wa Israel.Wadhifa wa rais Moshe Katsav wa miaka saba unamalizika tarehe 15 Julai.Hivi sasa,Katsav kwa muda,yupo katika likizo ya lazima kufuatia madai kuwa aliwasumbua na kuwabaka wafanyakazi wa zamani kadhaa wa kike.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com