1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Israel

Israel ndiyo nchi pekee duniani iliyo na idadi kubwa ya Wayahudi. Imekuwa katika mgogoro na Kipalestina na majirani zake wengine wa Kiarabu, kuhusiana na umilki wa maeneo matakatifu tangu kuundwa kwake 1948.

Kugawanywa kwa himaya ya zamani ya Waingereza – Palestina na kuundwa kwa taifa la Israel katika miaka iliyofuatia vita kuu vya pili vya dunia, yalikuwa matokeo ya vuguvugu la Kizayuni, ambalo lilikuwa na lengo la kuundwa kwa eneo la Wayahudi waliyokuwa wametapakaa duniani kote.

Onesha makala zaidi