Israel yaamua kuwaachia huru wafungwa 90 wa kiipalastina | Habari za Ulimwengu | DW | 23.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Israel yaamua kuwaachia huru wafungwa 90 wa kiipalastina

Jerusalem:

Serikali ya Israel imeamua kuwaachia huru wafungwa 90 wa kipalastina.Uamuzi huo unaangaliwa kama hatua ya kumuunga mkono rais wa utawala wa ndani wa Palastina Mahmoud Abbas.Wafungwa hao wanaoachiwa huru ni wanachama wa Fatah.Jumla ya wapalastina elfu kumi na mmoja wanashikiliwa korokoroni nchini Israel.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com