ISLAMABAD: Benazir Bhutto kujadiliana na viongozi wa upinzani | Habari za Ulimwengu | DW | 07.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ISLAMABAD: Benazir Bhutto kujadiliana na viongozi wa upinzani

Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan,Benazir Bhutto amewasili Islamabad kujadiliana na viongozi wa upinzani,lakini amefutilia mbali kukutana na Rais Jemadari Pervez Musharraf.Bhutto ameungana na Jaji Mkuu alieachishwa kazi,Iftikhar Chaudhry kutoa mwito kwa umma kufanya maandamano bila ya kujali polisi,mpaka amri ya hali ya hatari itakapoondoshwa.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com